CHAMA CHA WANAHABARI WANAWAKE TANZANIA TAMWA kinawatangazia wanachama wake kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama (AGM) utakaofanyika Juni 13-14, 2025.
LENGO LA MKUTANO MKUU WA AGM NI:
• Uchaguzi wa wanachama wapya kwamujibu wa Katiba ya Chama.
• Tathmini ya mwenendowa chama – mafanikio, changamoto, namwelekeompya.
• Uwasilishajiwa taarifa ya mapato namatumizi ya chama.
• Uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wamiradi namustakabali wa TAMWA.
• Fursaya wanachamakutoa maoni namapendekezo ya kuimarisha mchangowa TAMWA katikajamii.
Mkutano huu utafanyika tarehe 13-14 Juni, 2025
• Eneo: Ukumbi wa TAMWA, Sinza, Mori, Dar es Salaam
• Moduli: Kwa kufika ofisi za TAMWA na kwa njia ya Zoom
• Muda: Saa 4 asubuhi
Wanachama wote mnahimizwa kuhudhuria
Kwa maelezo zaidi, tafadhaliwasiliananaTAMWA kupitia;
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Simu:0716622200
-
TAMWA
-
-
Hits: 112
( 0 Rating )