×

Error

Error 403 - Forbidden (no access permissions) for http://www.tamwa.org/modules/mod_latestnewsenhanced/animationmaster.js.php

Error 403 - Forbidden (no access permissions) for http://www.tamwa.org/modules/mod_latestnewsenhanced/stylemaster.css.php

EVENTS February 06,2015

10 April 2015 Written by 
Published in News
February 06,2015 MAADHIMISHO YA KUPINGA UKEKETAJI SINGIDA Chama cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA) Kimeungana na mashirika mengine yanayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na kutetea haki za binadamu tarehe 6.02.2015 kuadhimisha siku ya kupinga ukeketaji Duniani ambayo mwaka huu imefanyika kitaifa mkoani Singida. Lengo la maadhimisho hayo ni kuunganisha nguvu za wabunge, wakuu wa mikoa, polisi, mahakama, viongozi wa dini,waathirika wa vitendo hivyo, wanafunzi walimu,wazee wamila pamoja na ngaribaili kuweka mikakati ya kuondoaukatili huo kutoka asilimia 15 hadi sifuri. Waziri wa jamii,Jinsia na watoto, Sophia samba alikuwa mgeni rasmikatika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu isemayo, piga vita ukeketaji. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka alisema kuwa anaamini ukeketaji unaweza kuisha endapo jamii itapatiwa elimu ya kuondokana na mila kandamizi kwani zinakiuka haki za binadamu na kudhoofisha afya za wasichana na wanawakepia kusababisha vifo vingi KUTANO MKUU WA WANACHAMA WA TAMWA (AGM 2014) Tembelea ukarasa wa wafacebook kwa picha na maelezo zaidi kuhusiana na Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 29, machi, 2014. Bonyenza kitufehapa
Rate this item
(0 votes)

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

August 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper